Hiki Ndicho Nilichokifanya Baada ya Serikali Kuweka KODI Kwenye Matangazo ya Kulipia Facebook & Instagram na Kutengeneza Zaidi ya Tshs 4,997,789+ Ndani ya Siku 29 Kwa Budget Ndogo ya $57.69 Tu

…Na Jinsi Utakavyotengeneza Pia kama Utakopi MFUMO huu Mpya wa kuSETI Matangazo yako ya Kulipia  “Facebook & Instagram”

Mpendwa Mjasiriamali…

Je ungependa kupata MAFURIKO ya wateja Mtandaoni wenye Kiu na uwezo wa Kununua Bidhaa/huduma yako kwa kutumia Budget ndogo kwenye Matangazo yako?…

…kama umejibu Ndio basi huu ndio ujumbe muhimu zaidi utakaosoma leo….

Na hii hapa Chini ndio Sababu:

Hi, Jina langu ni Prosper Mungure,

Naishi Mikocheni, Dar Es Salaam…

Wengi wananijua kama Mtaalamu wa kuwasaidia Wajasiriamali Kutumia Mitandao ya Kijamii kunasa wateja…

Na hii ndio Story yangu Fupi…

Miaka Kadhaa nyuma ilikuwa rahisi sana kupata Wateja mtandaoni (Fb & insta) kupitia matangazo ya Kulipia…

…kwani iliwezekana kabisa kupata Matokeo makubwa kwa Budget ndogo ya $2..$4..$5 mpaka $10

Nakumbuka nilikuwa nikiweka $10 kwenye Matangazo yangu napata DM kibao za wateja, Likes, Comments & Followers wa kumwaga…

LAKINI…

Ghafla mambo yalibadilika…

Kila nikiseti na Kulipia tangazo Fb & Insta naona KIMYA…

Naongeza mpaka Budget lakini wapi…

…hakuna wateja, hakuna Ujumbe DM, Hakuna kupigiwa simu wala kuuliziwa chochote kuhusu Huduma zangu

Kitu Pekee nilichokuwa naambulia ni Likes & Comments tu…(Hakuna Oda za wateja)

Kama nawewe sasahivi unapitia kwenye kipindi kigumu kama hicho…basi naelewa jinsi unavyojisikia kwasababu nilishakuwa huko

Hakuna nilichokipata zaidi ya kubaki na DENI la $479.89…na Akaunti yangu Kufungwa kwa muda

“Ndipo nilipoamua Kuanza kutafuta Njia MPYA na Mbadala ya Kufanya Matangazo yenye kunasa wateja Facebook & instagram”

Nikaanza kununua kila Kozi iliyopita mbele yangu inayohusu matangazo ya kulipia…

…achilia mbali Vitabu na Consultations kutoka kwa wataalamu mbali mbali mtandaoni

LAKINI…

Bado sikuweza kupata Matokeo Mazuri niliyoyataka…

Nikaanza kutafuta SOLUTION mwenyewe kwa kufanya MAJARIBIO mbali mbali ya KUSETI matangazo mtandaoni

…baada ya majaribio mengi siku moja nilifanikiwa kugundua SIRIhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/ Mpya ya KUSETI matangazo ambayo ilinasa wateja Mtandaoni kama Sumaku..

Nakumbuka siku ya kwanza tu…niliweza kupata zaidi ya wateja 89…(haijawahi kutokea kabla)

Mmmmh!…Haiwezi kuwa rahisi kiasi hiki… (Nikajisemea kimyo moyo)

Nilidhani labda nimebahatisha…

…Siku ya pili nikatumia mbinu zile zile kuandaa Tangazo lingine

Nikashangaa mara mteja wa 1…wa 2…wa 3…wa 4….Ohoo Nikazidiwa na wateja mpaka Nikasimamisha Matangazo kwa muda ili niwahudumie kwanza wale nilionao…

“Nakumbuka ndani ya mwezi mmoja nilifanya mauzo ya Tshs 1,149,756, mwezi wa Pili Tshs 2,649,507 Mwezi wa Tatu Tshs 4,397,755+ na Haikuishia hapo”

Haikupita muda watu wakaanza kushangazwa na Matokeo yangu…na Taarifa zikasambaa kwa wajasiriamali Kibao mtandaoni

Wakaanza kunitafuta kwa wingi ili niwafundishe…na wengine walikuwa tayari hata kunilipa pesa nyingi…

LAKINI…

Bado sikuwa tayari kumfundisha Mtu yeyote SIRIhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/ Hizi….

…kwani niliamini SIRI hizi zinafanya kazi kwangu tu

Ila Baada ya uhitaji wa wajasiriamali Kuwa mkubwa na usumbufu kuzidi…

…basi nikaamua kuwafundisha SIRI hizi Wajasiriamali ambao hawakuwa na Utaalamu wowote wa kutumia mitandao, hawakuwa na FOLLOWERS wengi na wale ambao walikuwa hawapati matokeo mazuri kwenye matangazo yao

Na hivi ndivyo wanavyosema Baada ya kutumia SIRI hizi ndani ya Siku 3 Tu…

Je ni Kwanini Nimekupa Story Hii?…

Kwasababu nataka nawewe Upate Hisia kama nilivyoipata mimi pamoja na Wanafunzi wangu ya Kupata MAFURIKO ya wateja kutoka mtandaoni tena kwa Budget ndogo hata kama umeshajaribu kila mbinu na umefeli…

…Ndio maana nimetengeneza Kozi hii inayoenda kukufundisha Hatua kwa hatua tena kwa Mifano jinsi ya kuandika Matangazo yenye kunasa wateja Mtandaoni  inayoitwa…

“Fb & Insta-SUMAKUhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/

(Attach image ya Kozi hapa)

“Fb & Insta-Sumakuhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/ ni Kozi ya Kiswahili itakayokufundisha Hatua kwa hatua SIRI Mpya za Kuseti Matangazo ya Kulipia Yenye Kunasa Wateja kama Sumaku Mtandaoni

NA…

Hizi ni Nusu Tu ya SIRI Unazoenda Kujifunza Ndani ya Kozi ya “Fb & Insta-Sumaku” Leo!

  • Hili ndilo KOSA Kubwa linalowagharimu zaidi ya 97% ya Wajasiriamali wa Kitanzania wasipate Matokeo kwenye Matangazo yao ya kulipia Mtandaoni na jinsi ya kuliepuka…(Hint: Huyu ndiye Adui Namba 1 wa biashara yako ya mtandao)
  • Hii ndio njia MPYA na ya kisasa ya kuseti na kuandika matangazo yako ya kulipia yenye Kukuletea MAFURIKO ya wateja katika soko hili jipya….(Hint: 90% ya wajasiriamali bado wanatumia njia ya zamani ambayo haifanyi kazi sasahivi)
  • Huu ndio ushauri wa Kitaalamu kuhusu matangazo yako ya kulipia unaotumiwa na 1% Tu ya Wataalamu wanaopata Matokeo makubwa Mtandaoni… (Hint: Iliigharimu zaidi ya $1,000 Kuijua Siri hii pekee)

…Pamoja na SIRI Zingine Kibao ambazo huwezi kuzipata Popote!

Thamani Halisi ya Kozi ya “Fb & Insta-Sumakuhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/ ni Tshs 150,000

LAKINI…

…KWASABABU Huu ni mwanzo wa Mwaka MPYA 2024…basi utaweza kuipata Kozi yako kwa Malipo kidogo ya…

“Tshs 70,000 Tu”

(150,000)

(Ndio Nataka Kulipia SASAHIVIhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/)

NA…

Kama utalipia Kozi yako ya “Fb & Insta-SUMAKU” Ndani ya Masaa 48 kutoka sasa… Basi Utapata Hizi BONASI Hapa Chini Zenye Thamani ya Tshs 291,000 BURE Kabisahttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/

BONASI # 1:  Unapata Video BURE Inayoelekeza hatua kwa hatua mwanzo mwisho jinsi ya Kuseti na kulipia Matangazo Facebook & instagram… (Huwa inauzwa Tshs 79,000)

-Hii ni maalumu kwa Mjasiriamali ambaye hajawahi kufanya matangazo ya kulipia kabisa mtandaoni…(Beginner)

BONASI # 2: Utapata Access ya Kurekebishiwa Akaunti yako ya Matangazo BURE kama imezuiwa au Kufungwa na Meta…. (Huwa tunacharge Tshs 80,000 kwa saa)

Kwahiyo…

Leo utaweza kupata Kozi ya  “Fb & Insta-Sumaku” yenye Thamani ya Tshs 150,000 …Plus BONUSES Zenye Thamani ya Tshs 291,000 Kwa Malipo Kidogo ya…

“Tshs 70,000 Tu”

(Bofya Hapa Kulipia SASAHIVIhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/)

“Fb & Insta-Sumaku” ni Tofauti na Kozi zingine zote Zinazofundisha Ujuzi wa Kuseti Matangazo Mtandaoni…

…Kwasababu hii imetengenezwa kutokana na Matokeo ya Majaribio tunayoyafanya kila siku kwa wateja wetu mtandaoni.. kwahiyo sio Nadharia kama Kozi zingine unazokutana nazo kila siku mtandaoni!

NA…

Kikubwa zaidi ni kwamba baada ya Kununua Kozi Hii…

…Utalindwa na Hii GUARANTEE Hapa Chini…

“Ikitokea Hujaongeza Mauzo yako kwa 70% ndani ya siku 30 zijazo Baada ya Kuseti Matangazo yako kwa kutumia SIRI Utakazojifunza ndani ya Kozi hii…basi nitumie ujumbe Kwenye namba hii “0758-897-829” na utarudishiwa pesa yako bila kuulizwa swali lolote na nitakupa Tshs 100,000 ya Kufidia muda wako na usumbufu…(kwahiyo hakuna RISK Yoyote upande wako)

Najua utakuwa unajiuliza…

“Je ni Kweli Kozi Hii Itakufaa?”

Well…Kozi hii sio kwa ajili ya kila Mtu ni Maalumu kwa watu hawa hapa chini…(walengwa)

-Wajasiriamali wanaofanya Mtangazo lakini Hawapati MATOKEO Mazuri

Na…

-Watu ambao hawajawahi kabisa kufanya Matangazo Mtandaoni…(Beginners)

Kwahiyo…

kama upo kwenye Kundi Mojawapo kati ya hayo Mawili…basi Kozi hii ni kwa ajili yako

(Bofya Hapa Kulipia SASAHIVI)

P. S. Kama nilivyokwamba Thamani halisi ya “Fb & Insta-Sumaku” Course ni Tshs 150,000 Lakini Sasahivi Bado unaweza kuipata Kozi yako na Bonuses zake zote Zenye Thamani ya Tshs 291,000 kwa Exclusive Offer yahttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/

Tshs 70,000 Tu

KWASABABU Huu ni Mwanzo wa Mwaka 2024…Kuanzia February 01, 2024 Kozi inarudi kwenye bei yake ya kawaida ambayo ni Tshs 150,000

…kwahiyo tumia Advantage hii Kulipia SASAHIVI Kabla muda haujaisha ili Uokoe zaidi ya Tshs 80,000

Aidha uendelee Kuchoma na kupoteza Pesa kwenye Matangazo yasioyouza Au Utumie SIRI hizi zilizopo ndani ya Kozi hii na ubadilishe Kila kitu katika Biashara yako ndani ya Usiku Mmoja…Chaguo ni Lako Rafiki yangu!

(Ndio Nataka Kulipia SASAHIVIhttps://mtandaonii.com/courses/namna-ya-kufanya-matangazo-yenye-matokeo-makubwa/)

Ni mimi Mwenye Kujali Mafanikio yako…

Prosper Mungure,

Kutoka Mtandaoni!