Jinsi Ya Kuuza Bidhaa Za Wengine Na  Kupata 50K-300K Kwa Siku.
eBook Marketing −50% OFF

About this eBook

Na Prosper A. Mungure Hiki ni kitabu cha vitendo kinachokuonyesha jinsi ya kuanza biashara bila kuwa na bidhaa wala mtaji mkubwa. Utajifunza namna ya kuuza bidhaa za watu wengine na kutengeneza kipato kila siku kupitia mtandao. Utajifunza: Jinsi ya kuanza bila mtaji Njia za kupata bidhaa za kuuza Mbinu za kupata wateja na mauzo Faida: Mwongozo rahisi wa kuanza earning online na kufikia hadi 50k–300k kwa siku.

You may also like

More ebooks to explore

eBook

TSh 15,000 TSh 30,000