Jinsi ya Kuuza Bidhaa za Watu Wengine na Kupata 50k–300k kwa Siku
Huna mtaji? Huna bidhaa? Pole yako! Ukitoka hapa, huna tena kisingizio.
Hii ni eBook ya mtaa kwa kijana wa mtaa — mwongozo wa vitendo wa kuanza kuuza bidhaa za watu wengine bila kuwa nazo, bila kuwa na ofisi, na bila presha za mitaji mikubwa.
Ndani ya kurasa hizi, Prosper Mungure anakuonesha jinsi alivyotoka sifuri akiwa mwanafunzi wa chuo hadi kutengeneza kipato cha kila siku kupitia mfumo rahisi wa reselling, affiliate, na dropshipping ya kibongo.
Ndani ya eBook hii utajifunza:
✅ Njia 3 za kujiunga na watu wenye bidhaa
✅ Jinsi ya kutafuta bidhaa zenye faida kubwa (na zinazoenda haraka)
✅ Mbinu za kuuza bila stock — kupitia status, captions, na broadcast list
✅ Mfumo wa kuingiza hadi 300,000 kwa siku (hata kwa bidhaa moja tu)
✅ Njia za kushughulika na changamoto za mtaa (wateja walaghai, bei feki, presha za “una ofisi?”)
BONUS:
Taarifa Muhimu:
-
Format: eBook (PDF)
-
Lugha: Kiswahili sanifu + ladha ya mtaa
-
Kwa nani: Kijana yeyote mwenye simu, bundle, na kiu ya ganji
-
Delivery: Instant download baada ya malipo
Kama unaweza kupiga picha, kupost, na kuchukua hatua — unaweza kupiga hela.
Pakua eBook hii sasa, uanze safari yako ya “piga picha, post, collect.
Reviews
There are no reviews yet.