Ujuzi 10 wa Kisasa Ambao Kila Kijana Anapaswa Kujifunza Kabla Hajamaliza Chuo.
eBook Business −50% OFF

About this eBook

Mwandishi: Prosper A. Mungure Maelezo ya Kitabu: Hiki ni kitabu kinacholenga kuwafungua macho vijana kuhusu ujuzi wa kisasa unaohitajika ili kufanikiwa kwenye dunia ya leo ya kidigitali. Ndani yake utajifunza mbinu za vitendo zitakazokusaidia kujenga kipato, kujitegemea, na kujiandaa na maisha halisi hata kabla hujahitimu chuo. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na kina mifano halisi, hivyo kinafaa kwa yeyote anayetaka kuanza safari ya mafanikio kupitia teknolojia na mitandao ya kijamii.

You may also like

More ebooks to explore

eBook

TSh 20,000 TSh 40,000