UNAMALIZAGA?
eBook Personal Development. −60% OFF

About this eBook

Umewahi Kumaliza Course Yoyote au Unapenda Kuanza Tu? Mwandishi: Prosper A. Mungure Maelezo ya Kitabu: Hiki ni kitabu cha kukutoa kwenye tabia ya kuanza vitu bila kuvimaliza. Kama wewe ni mtu unayeanza course, biashara, au mipango mingi lakini huishii katikati—kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako. Kupitia mifano halisi na mbinu za vitendo, utafundishwa namna ya kujenga nidhamu, kuongeza umakini, na kuhakikisha unamaliza kile unachoanza. Hii siyo theory tu, ni mwongozo wa kukusaidia kuchukua hatua na kuona matokeo. Ndani ya Kitabu Utajifunza: Sababu kuu zinazokufanya ushindwe kumaliza unachoanza Jinsi ya kujenga consistency na nidhamu binafsi Mbinu za kumaliza courses na kujifunza kwa ufanisi Njia za kuondoa uzembe na distractions Mindset ya watu wanaofanikiwa kumaliza wanachoanza Kinafaa kwa: Watu wanaopenda kuanza vitu lakini hawavimalizi Wanafunzi na wanaojifunza skills mtandaoni Wajasiriamali wanaokwama njiani Mtu yeyote anayetaka kuwa mtu wa matokeo Faida Kuu: Baada ya kusoma kitabu hiki, utaacha kuwa mtu wa kuanza tu—utaanza na kumaliza, na hapo ndipo mafanikio yanaanzia.

You may also like

More ebooks to explore

eBook

TSh 10,000 TSh 25,000