Ujuzi 10 Wa Kisasa Kwa Kila Kijana, Kabla Ya Kumaliza Chuo.
Original price was: Sh40,000.00.Sh20,000.00Current price is: Sh20,000.00.
Description
Ujuzi 10 wa Kisasa Kwa Kila Kijana
Kitabu cha mwongozo wa kisasa kwa kijana wa Tanzania aliye chuo au aliye mtaani — anayetaka kuanza kujijenga kabla ya maisha hayajamfundisha kwa maumivu.
Katika dunia ya sasa, elimu ya chuo haitoshi.
Kama kijana unayetaka kujitegemea mapema, unahitaji ujuzi halisi unaofanya kazi kwenye mitandao, kwenye simu yako, na kwenye maisha ya vitendo.
Ndani ya eBook hii ya kipekee, Prosper Mungure anakufundisha ujuzi 10 muhimu ambao vijana wengi wanafanikiwa nao sasa — bila kutegemea mtaji mkubwa wala connections:
Mambo Utafundishwa:
✅ Kujieleza mtandaoni kwa kuvutia fursa
✅ Kutengeneza pesa kwa kutumia simu yako
✅ Kuendesha social media kisasa (reels, captions, community)
✅ Ku-design kwa kutumia Canva
✅ Ku-edit video kwa CapCut/InShot
✅ Kutengeneza eBooks, templates na caption packs
✅ Kutumia matangazo ya kulipia (FB & IG Ads)
✅ Kujifunza haraka kutoka YouTube & eBooks
✅ Self-leadership (kujiongoza bila kusukumwa)
✅ Time management — ratiba za nguvu kwa mwanafunzi wa sasa
Ni kwa nani?
-
Wanafunzi wa chuo wanaotaka kuwa “wanafunzi wa mabadiliko”
-
Vijana waliomaliza shule wanaotafuta mwelekeo
-
Yeyote anayetaka kuchanganya GPA na ganji
ℹ️ Taarifa Muhimu:
-
Aina: eBook (PDF)
-
Lugha: Kiswahili
-
Ukubwa: 63 pages.
-
Inasomeka kwa simu au kompyuta
-
Inapatikana kwa kupakuliwa papo hapo baada ya malipo
Hii si hadithi — ni mwongozo wa vitendo.
Pakua sasa na anza safari yako ya kuwa kijana mwenye ujuzi, msimamo, na mafanikio ya kisasa.
Reviews
There are no reviews yet.